Advertisemen
Chama cha Demokrasia Maendeleo (Chadema) kupitia mbunge wake wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea amefunguka kwa kumtaka Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt. Lameck Mwigulu Nchemba kujiuzulu kufuatia kifo cha mwanafunzi wa NIT, Akwilina Akwilini aliyefariki siku chache zilizopita baada ya kupigwa na risasi na jeshi la polisi.
Advertisemen
HABARI