Watu 17 maarufu Bongo waliongia katika orodha ya Wema Sepetu ‘My Favourite People’

Advertisemen
  1. Malkia wa filamu Bongo na Mkurugenzi wa Endless Fame, Wema Sepetu ametoa orodha ya watu ambao anawakubali katika maisha yake ‘My Favorite People’.
Katika orodha hiyo kuna watu wengi ila KATESH YETU imekuletea hawa 17 ambao ni maarafu kwa hapa Bongo.
1 – 2, Ben Pol & Vanessa Mdee3 – 5, Aunt Ezekel, Zamaradi Mketema & Snura
6 – 7, Nape Nnauye & Tundu Lissu
8 – 10, Aslay, Steve Nyerere & Barakah The Prince
11 – 12, Millard Ayo & Romy Jones 
13 – 15, Alikiba, Mange Kimambi & Ommy Dimpoz
16 – 17, Soudy Brown & B Dozen

Picha by

Mbwana Ibrahim

Advertisemen

Disclaimer: Gambar, artikel ataupun video yang ada di web ini terkadang berasal dari berbagai sumber media lain. Hak Cipta sepenuhnya dipegang oleh sumber tersebut. Jika ada masalah terkait hal ini, Anda dapat menghubungi kami disini.
Related Posts
Disqus Comments