Advertisemen
Alikiba ame-share picha kadhaa katika mtandao wake wa Instagram
zikimuonyesha akiwa Serengeti, hata hivyo haijafahamika iwapo
matembelezi hayo ni kwa ajili ya kazi au matunuzi pekee.
Si mara ya kwanza kwa Alikiba kufanya jambo kama hilo, mwaka 2015
yeye pamoja na team yake ya RockStar4000 walitembelea hifadhi ya
Tarangire, Pia mwaka 2016 alikuwepo Serengeti kwa ajili ya kusherekea
birthday yake.
Advertisemen
BURUDANI