Advertisemen
Michezo
Coutinho atua kwa dharura katika viwanja vya Liverpool
Mchezaji wa Barcelona, Philippe Coutinho hatimaye amepata nafasi ya kutembelea klabu yake ya zamani ya Liverpool hapo jana siku ya Jumatatu akiwa na lengo la kutoa neno la kwaheri kwa wachezaji wenzake ambao walikuwa pamoja ndani ya timu hiyo.
Philippe Coutinho amerejea Liverpool’s Melwood katika eneo la uwanja wa mazoezi Jumatatu mchana
Coutinho,ambaye amejiunga na Barcelona kwa usajili uliyogharimu paundi milioni 145 mwanzoni mwa mwezi huu ambapo amerejea na Adam Lallana.
Kushoto ni Alberto Moreno ambaye pia ameposti picha kupitia Instagram akiwa na Coutinho
Lallana ameposti picha kupitia mtandao wake wa Instagram zinazowaonyesha wawili hao wakiwa wamewasili.
Advertisemen
MICHEZO