TOP 10+ NYIMBO BORA, KALI NA MAARUFU ZA BONGO FLAVA KWA SASA HIVI by The Street Board “Top 10+ Current Bongo Fleva hit songs “

TOP 10+ CURRENT BONGO FLEVA HOT SONGS Hizi ni nyimbo kali Zilizohit na kuwika kila kona inayofikiwa na mziki wa Bongo fleva ni muhimu kwa...

Hapa ndipo lilipofikia dili la Aubameyang kwenda Arsenal

Club ya Arsenal baada ya kumpoteza nyota wake wa kimataifa wa Chile Alex Sanchez aliyeamua kujiunga na Man United ya England , bado dha...

Watu 17 maarufu Bongo waliongia katika orodha ya Wema Sepetu ‘My Favourite People’

Malkia wa filamu Bongo na Mkurugenzi wa Endless Fame, Wema Sepetu ametoa orodha ya watu ambao anawakubali katika maisha yake ‘My Favori...

Kuapishwa kwa George Weah kulivyofana

Mwanasoka wa zamani wa Liberia, George Weah ameapishwa kuwa Rais wa nchi hiyo katika sherehe iliyohudhuriwa na maelfu ya watu katika mji ...

Matanuzi ya Alikiba Serengeti si mchezo

Alikiba ame-share picha kadhaa katika mtandao wake wa Instagram zikimuonyesha akiwa Serengeti, hata hivyo haijafahamika iwapo matembelez...

David Beckham amiliki timu

Mchezaji wa zamani na kiongozi wa timu ya mpira wa miguu wa nchini Uingereza David Beckham amefanikiwa kuzindua mpango wake wa muda mre...

Usain Bolt Bolt afanya mazoezi na Mamelodi Sundowns

Binadamu mwenye kasi zaidi duniani, raia wa Jamaica Usain Bolt, alijiunga na klabu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini kwa mazoezi ka...

Wachezaji wawili wanaomzuia Aubameyang kutua Arsenal kwa sasa

Kufanikiwa kwa Arsenal kumnunua mshambuliaji wa Borussia Dortmund Pierre-Emerick Aubameyang kwa £60m kutategemea makubaliano kuhusu wac...

Faisans: Kisiwa cha kinachobadili utaifa kila baada ya miezi sita

Wiki ijayo, Ufaransa itakabidhi kisiwa cha kilomita mraba zaidi ya 3,000 kwa Uhispania bila risasi hata moja kufyatuliwa. Lakini katika ...

Afghanistan: Kituo cha mafunzo ya jeshi chavamiwa Kabul

Milio ya risasi na milipuko imesikika katika kituo cha mafunzo ya kijeshi katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul, taarifa zinasema. Vy...

Mkurugenzi wa CIA anasema Urusi itaingilia uchaguzi wa katikati ya muhula

Mkurugenzi wa wataalam wa shirika la ujasusi la Marekani CIA, anatarajia kuwa Urusi itailenga Marekani katika uchaguzi wa kati kati ya...

Michezo Coutinho atua kwa dharura katika viwanja vya Liverpool

Michezo Coutinho atua kwa dharura katika viwanja vya Liverpool Mchezaji wa Barcelona, Philippe Coutinho hatimaye amepata nafasi ...

RAIS SHEIN AFUNGUA WARSHA YA UELEWA JUU YA MAMLAKA YA VIWANDA VIDOGO VIDOGO ZANZIBAR ( SMID )

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia na kulifungua Kongamano la Warsha ya Uelewa Ju...